Thursday, April 30, 2009

Ninapenda Kiswahili!

Safi! Ninaweza kusema Kiswahili sasa. Sijui kwa nini, lakini ninaelewa sana. Ninafikiri kwamba nikifanya mazoezi, nitasema vizuri sana lini ninakwenda nyumbani. Leo ninafikiri labda nitakwenda Amsterdam kabla ya nitarudi Merikani. Kwa sababu, rafiki yango ataondoka baadaye 25 Mai. Sijui nikitaka kukaa hapa au kwenda nyumbani...hm...Hivyo, ninafanya kazi sana na ninastarehe na Arusha. !!! Lakini sisubiri kucheza dansi! Woohoo! Ninapenda Arusha lankini nitafurahi nyumbani.

Upendo Sana,
Sarah

1 comment:

Unknown said...

kabistupendi woohoo. i'm gonna kill you!